Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Siku ambayo nilikwenda kuangalia mzee mwenzangu week hii amefanikisha bidhaa ya maandazi.Naomba kesho uniambie ilikuwaje ukapata ngeo kubwa kiasi hicho karibu na jicho la kushoto?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Unajihami? My brother, uvumilivu una kikomo chake, mpaka nsamaka anaumwa chanzo ni nyie wakorofi watatu... Mnapuyanga tu humu kuharibu furaha za watu.Sasa kumbe imekuwaje? Nimemuona Makamu nae ameingia, yeye anajiita; The brothers keeper! Subiri makombora tu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukijibu bila neno lolote nafarijika tu[emoji4][emoji4]
Hahahah!!! Tupo.........m [emoji54][emoji54][emoji54]Sidhani kama wapo Sauzi hawa. Mbona sioni swaga? Wapo Upareni hawa....
Carba karegeeeeea kwa andaeitini chasugu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji nisamehe. Pilika pilika hapa leo. Tunaagwa. Nakuja kwa Jakitoo wangu. Hata ww MD wangu itabidi tuonane. Nakuona upo na andaeitiini hapo pembeni. Jihadhari sana. Kama nilivyokwambia jana. The boy is veeeery smooth chita cha mtoto. Cole mdogo wangu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najipanga wiki ijayo jtatu niende.Fuatilia bageshi na Mungu Akusaidie.
Asante shemeji
Unajihami? My brother, uvumilivu una kikomo chake, mpaka nsamaka anaumwa chanzo ni nyie wakorofi watatu... Mnapuyanga tu humu kuharibu furaha za watu.
Mnajua gharama ya kumainteni hiyo furaha mnayoiburuza kwa dharau utadhani mpira wa cha ndimu?
Ipo siku ntamng'oa mtu nanihii yake...
Mfyuuu zenuuu...
Huwa napita tu[emoji23] [emoji23]Mkuu kwa ubuyu hufai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nakuonaga na joseverest kiti cha mbeeeeleee....
Umekunywa nini leoSiku ambayo nilikwenda kuangalia mzee mwenzangu week hii amefanikisha bidhaa ya maandazi.
Alitumia walevi wenzie wa kinywaji kile kunishambulia kwa vyupa.
Mzee alikuwa mjanja sana anatafuta chupa za dawa za kifuo za watoto na kujaza bidhaa ile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mkwara huuUnajihami? My brother, uvumilivu una kikomo chake, mpaka nsamaka anaumwa chanzo ni nyie wakorofi watatu... Mnapuyanga tu humu kuharibu furaha za watu.
Mnajua gharama ya kumainteni hiyo furaha mnayoiburuza kwa dharau utadhani mpira wa cha ndimu?
Ipo siku ntamng'oa mtu nanihii yake...
Mfyuuu zenuuu...
Ukanikimbia?[emoji35][emoji35][emoji35]Mnanda
CantstopwontStop
Unapendwa sana. You are charming, funny and just a good girl and a human being. Wakati ule ukiniulizia hali ya mama basi mi mpaka nachanganyikiwa kabisa. Na si ajabu watu wakijipigilia mijibapa wanaanza kukulilia. Sema tu hatujuani ndo kitu kinasaidia. You are one of a kind. Hata Andaeitiini simlaumu kwa kweli !!!Nilikuwepo sana,tena usinikumbushe aliumwa malaria et[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila leo chamoto nakiona mana kuna listi hapo kati[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nafwaaa huku mimi jamaniCarba karegeeeeea kwa andaeitini chasugu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani sikuelewi kabisa
Nawaona kwa mbaaaliii mnakuja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]