Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mwanzo ulisema ni ushujaa kumbe ulikuwa umepotea nikakuacha na harakati zako za kufatilia wake za watu.Kichwa naona mwaka unaelekea kukatika ikiwa hujakamatwa ugoni,
Utakuwa mwaka wa ajabu sana ķuumaliza bila kufumaniwa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji102][emoji102][emoji101][emoji123]Vunja baba, mwenye zizi kazubaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hawajui maumivu yake. Hasa yale psychological yasiyotibika kirahisi.Unajihami? My brother, uvumilivu una kikomo chake, mpaka nsamaka anaumwa chanzo ni nyie wakorofi watatu... Mnapuyanga tu humu kuharibu furaha za watu.
Mnajua gharama ya kumainteni hiyo furaha mnayoiburuza kwa dharau utadhani mpira wa cha ndimu?
Ipo siku ntamng'oa mtu nanihii yake...
Mfyuuu zenuuu...
Roho inaniuma yaani basi tu !!!Carba karegeeeeea kwa andaeitini chasugu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani ulivyo sema bado unajenga Taifa nikaishiwa pozi kabisakanifanya nitoroke kazini halafu kanikimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule nduguyo sio kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungesema ukweli tu mwanzo na ushauri ulitoa wewe kuwa ni mtu maarufu kwenye malori.
Nafarijika kusikia hivi[emoji4][emoji4]Unapendwa sana. You are charming, funny and just a good girl and a human being. Wakati ule ukiniulizia hali ya mama basi mi mpaka nachanganyikiwa kabisa. Na si ajabu watu wakijipigilia mijibapa wanaanza kukulilia. Sema tu hatujuani ndo kitu kinasaidia. You are one of a kind. Hata Andaeitiini simlaumu kwa kweli !!!
Miafrika ndivyo tulivyo! Katika karne hii watu bado tunategemea kutatua matatizo yetu kwa kutumia majini. Sad !!!Sasa wasomaji wa albadil wanasubiri nini mpaka saa hizi mbona matokeo yanachelewa
Mwanzo ulisema matengenezo ni machache maana umehakikisha kwa pesa ile utapata lori zuri.Nilikuambia sawa umenunia roli lakini linahitaji matengenezo makubwa,
Wewe ukapiga rangi nyekundu tu na kuanza kununua mbuzi na kupakia.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupatwa kwa........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]