Ni kweli, lakini wewe na joseverest mumeonekana ni wakorofi sana kule, mnajiita hanta hanta kumbe.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa napita tu[emoji23] [emoji23]
Eeeeeeeee... Lazima ajue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mkwara huu
Jisikie huru Yego...How was your day, kitoo! [emoji23][emoji23][emoji23] Hapa SYB asipaone! [emoji23][emoji23]
Katibu.... Tayari, huo ni wimbo wa pili kwenye kumbukumbu yangu....Unapendwa sana. You are charming, funny and just a good girl and a human being. Wakati ule ukiniulizia hali ya mama basi mi mpaka nachanganyikiwa kabisa. Na si ajabu watu wakijipigilia mijibapa wanaanza kukulilia. Sema tu hatujuani ndo kitu kinasaidia. You are one of a kind. Hata Andaeitiini simlaumu kwa kweli !!!
Utaelewa nini akili zako zimelala zimefunikwa kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani sikuelewi kabisa
CantstopwontStop
Tuendelee kupambana braza...Mpaka kieleweke !!!Yaani yale maisha aliyo pitia mdogo wangu yale!!!!
Nitaloga mtuuuu... Kweli vile. Najua akili za Cole zimelazwa na mtu fulani,nitazunguka popote niziamshe... Walahi ya nani vileee...
Ambee yegoo[emoji23] [emoji23]Baadae kidogo wakuu!
Eti waja na kurusha ndoano hata nchi kavu,samaki gani anazurura kwenye lami, hospital, sokoni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hawajui maumivu yake. Hasa yale psychological yasiyotibika kirahisi.
Sasa kwa nini ulifunga PM? Kujishaua tu hapa uonekane wa maana. Yaani wewe.Kule chini kwa wakubwa bana, we vipi! [emoji23]
Rudi kwenye orodha ileee...Nafarijika kusikia hivi[emoji4][emoji4]
Ila si kwa sifa hizi,nashukuru Mungu kama nawafanya mfarijike[emoji120][emoji120]