Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duh !!!Makosa hayo
1.) kuuzia wanafunzi kinywaji kikali kwa kuwadanganya maji safi katika kituo chake cha tution cha kufundisha Advanced Pure Mathematics huku aliishia darasa la 3 katika elimu ya siasa na michezo
Likes kwa kila postLikes
Yego mdogo wangu uwe na moyo wa huruma.Hii inanipa munkari wa kulengeshea mashambulizi yangu kwenye zizi la huyu mtu! [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji123]
Sasa huyu mkerewe ana taka kote kote yaani hata simuelewiMimi ni mjinga, sistahili kumchekea moudgulf wala Yegomasika
Poti poti wangu huyu nitamkanya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo jina la mwisho usilitaje hilo. Presha itanipanda sasa hivi. Dogo hatari sana yule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na upole wako ndo unakuponza
Yego mdogo wangu uwe na moyo wa huruma.
Utaniua kabisaaaaaaaaaa....
Anasubiri SYB atoke aingie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si unajua yuko kwenye mawindo[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeh!halafu leo sijamuona ujue?au umemteka?
Kakwama Somalia. Tusali sana isije ikawa Shabab weshafanya yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shimba kupigwa lazima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bob 12 mzee wa gospo wapi
Hahahahaha dah
Indo - European ni akina nani hawa
Your heart beats over 100,000 times a day.
How many of us know this fact?
Carba na cole
We don’t have voluntary control over our internal organs because our brains don’t trust us enough to keep ourselves alive.
Mkuu umeanza na wewe ushilawadu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliona jana,carba na huyo nani sijui chasugu!! Walikuwa wanamjadili jaki baby... Mara nyingi wanabakigi na bwana yule mida mibovu humu
Hahahha yegomasika njoo ujibu.
Livapuu leo imekuwaje au hawakucheza? Mi nasubirisha kesho Aseno tunatembeza mkong'oto hevi kwa hao wa kijani. Kesho ni siku ya jiniazi wa soka duniani Wenga kuheshimiwa.
10000 days since Liverpool won the premier league.
Huu ndio ujinga wa kutegemea mchezaji mmoja impact ya mane kukosekana kwake tangu red mpka sasa ni kubwa sana