carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Carba na cole
Hata sijui nashabikia nini Hapa duniani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au nibaki kushabikia yale mambo yetu yaleeeeee....Na leo tena liver wamechezea?
Halafu carba aliomba zawadi ya Bomu kwa singo baba sasa sijui anataka kulifanyia niniKabakie huko huko Somaliland kasirudi huku kabisa. Kanajifanya kahubiri basi kaeneze injili huko huko kwa Al Shabab mpaka watupe mabomu yao kwa hiari.
Andaeitiini si ajabu ana mamitihani. Akija hapa utasikia tu "Carba, leo ka Jakitoo kako wapi?" Na Carba naye kweli anakwenda kumuita Jakitoo halafu wote wanakaa na kuanza kujadili mambo yasiyoeleweka. Wasiwasi tupu !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unazengea mazizi ya watu[emoji3] [emoji3]
Dogo dharau imezidi ya Manji....Yegoooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa ini hata wewe[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Wewe tena ukosekane na team yako
Team carbamazepine
HahahhaWewe ni midieta shemeji. Kama vile unatumika kuwakutanisha. Pengine ka andaeitini kanakutumia japo hujui. Kajanja sana kale !!!
Ila nitamtengua kiungo...Na amedhamiria kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]matukio muhimu tuUna kumbukumbu wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Horace kolimba katibu mkuu aliyekuwa na nguvu sana ndani ya Chama lakini watu wasiojulikana walimaliza uhai wakeAhmed Hassan Diria "masharubu" waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa nyuma ya kolimba.
Eeeee... Ila tunakulagaKumbe ni shemeji?????
Majigambo tu hakuna lolote. Ufalme ufitinikao dhidi yake wenyewe utasimamaje? Swali hili la Kifalsafa liliulizwa na Bwana Yesu Mafarisayo wakabaki wanakodoleana macho tu. Ati, utajivunaje kuwa una nguvu za giza zishindazo giza lingine lote wakati wote mumo kwa mumo gizani?Hahaaaa, Mti mkavu hapa! Mzizi wake haufai hata kwa dawa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Heee[emoji134][emoji134][emoji134]Sio inaonekana yaan ni hv huyo ni member mzoefu. Kiufupi ndio mwenye kiti wao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwacheni ahangaike na Al Shabab wake kwanza. Akirudi hapa hapatakalika kwa gospo unless kama wamemlazimisha kusilimu. Hapo tutegemee vionjo tofauti...