carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji120][emoji120][emoji120]aminWakuu. Muwe na Jumapili njema. Mungu Atulinde sote na kutubariki siku ya leo. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Alianza ufugaji wa kuku wa kisasa hakujua jinsi ya kufuga yeye alikuwa anawatoa kuku wote nje kama wa kienyeji.Mchina mchina tu
Weweeee[emoji23][emoji23][emoji23]Yes, kitoo! Oops, my bad! [emoji23][emoji23]
Prince Charles anapata shida anapenda sana kuwa king wa UK lakini anampenda sana mama yake
Njema habari yakoHabari za asbh wanalikes
SafiHabari za asbh TANZANIA
Uchochezi.Avatar zinanichanganya wajameni[emoji134]
Habari SumveHabari za asbh MWANZA
Habari Bukoba vijijiniHabari za asbh KAGERA
Hii hunter hunter sijui mnawinda nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] andjul nisaidie kuuliza kwa kkPamoja hunter.
Habari Geita mjiniHabari za asbh GEITA
Salama habari ya weweHabari za kuamka rafiki wapenzi
Habari zenu hapo uramboHabari za asbh TABORA
Salama jiraniHabari yako jirani
Habari ya Kuamka Shinyanga mjiniHabari za asbh SHINYANGA
Dogo hujamboKwanini mkuu
Yup huwa nakuzingatia kule kila nikipita.Yule wa pili ananivutia na zile stor zake so sikufuatilia interview kiivyo
AMUN RA00:03
YapSiku mpya..jumapili