Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amen. Ubarikiwe sana. Uwe na uvumilivu kwa kila mapito (sijajua ujio wa andaeitini) ambayo yanaweza kukutoa kwenye reli. Uwe na siku njema
Andaeitini wa nini tena mkuu? Nina amani sana leo sitaki purukushani kabisa. Perceiving things at a cosmic level today...and you are talking about Andaeitiini?

Kwema lakini?
 
Ni kweli kabisa,
Natumai kila aliyenufaika na namba hiki ni kipindi cha kuachana nazo tu.
Kupigania likes kwa njia ya kupost posts zenye maana ni ngumu; na mtu aliyezoea kuweka namba tu sidhani kama ataweza.

Why can't you ALL just adopt my MO. No likes kwenye namba. Hii itasolve hii problem quickly [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…