Kwa nini?Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wanaoishi maeneo ya pembezoni mwa bahari, maziwa, mito mikubwa wamekuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri, akili nyingi na wamekuwa wakiishi kwa muda mrefu kutokana na kutokuzeeka mapema.
Sijaona Kisiwa cha Saanane NumbisaKwa upande wa Tanzania, watu waliozaliwa na kuishi maeneo ya pembezoni mwa bahari, maziwa, mito ikiwemo kisiwa kama cha Ukerewe na maeneo mengine karibu na maziwa Victoria, Nyasa, Rukwa hata visiwani Zanzibar wamebainika kuwa ni watu wenye akili nyingi na wanaishi kwa muda mrefu ukilinganisha na maeneo mengine ya nchi kitakwimu.
Mmmmhh..“Samaki wana kiambata aina ya Omega 3 ambayo husaidia katika ukuaji wa binadamu na kujenga ubongo wake vizuri, ndiyo maana watu wanaoishi katika maeneo yaliyozungukwa na maji mengi ‘bahari, mito au maziwa’ ni watu wenye akili nyingi na watambuzi hata kama hajaenda shule na akienda shule hufanya vyema sana darasani kama ni mtoto, angalia watu wanaotoka ukerewe au sehemu nyinginezo,” anasema Materu.
Kwa nini nyama nyekundu hairuhusiwi kwa mama mjamzito?Materu anafafanua kuwa kinamama wajawazito kwa upande wao wamekuwa wakipewa ushauri kutumia kitoweo hicho wawapo wajawazito na kuepuka nyama nyekundu ambayo hata hivyo ni muhimu kwa mama mjamzito kutumia ili kuongeza damu haraka kwa mjamzito.
Kipo mwanza,ofisi yake jiran na tilapia hotel,ukilipia gharama za hapo watakupeleka wao kwa boti yaoSijaona Kisiwa cha Saanane Numbisa
SawaWajawazito wanapaswa kula samaki kwa wingi ili kukuza ubongo wa mtoto, pia ni lazima wale nyama nyekundu ili kuongeza damu kwa uharaka mwilini ila tunawashauri isizidi nusu kilo kwa siku saba,” anasema Materu na kufafanua umuhimu wa Omega 3 kwa wajawazito.
Omega-3 and omega-6 are types of essential fatty acids – meaning we cannot make them on our own and have to obtain them from our diet. Both are polyunsaturated fatty acids that differ from each other in their chemical structure. In modern diets, there are few sources of omega-3 fatty acids, mainly the fat of cold water fish such as salmon, sardines, herring, mackerel, black cod, and bluefish. There are two critical omega-3 fatty acids, (eicosapentaenoic acid, called EPA and docosahexaenoic or DHA), that the body needs. Vegetarian sources, such as walnuts and flaxseeds contain a precursor omega-3 (alpha-linolenic acid called ALA) that the body must convert to EPA and DHA. EPA and DHA are the building blocks for hormones that control immune function, blood clotting, and cell growth as well as components of cell membranes.Je Omega 6?
Pale karibu na Bandari ee!!Kipo mwanza,ofisi yake jiran na tilapia hotel,ukilipia gharama za hapo watakupeleka wao kwa boti yao
HahahhaaNgoja nimsake mchina kwanza yawezekana kile kinywaji kikanifaa leo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Waangalie Wakerewe. Mwangalie Andaeitiini. Mtoto mdogo lakini utafikiri ana PhD ya kuvamia mazizi ya watu na kuyaharibu tena bila huruma wala woga. Mwangalie Mzee wa Liver. Mfalme Aliyejishindia ufalme kilaiiini baada ya kuukamata moyo wa Malkia. Bingwa wa Forex na Think Tank ya makamanda...Kitoweo hiki kinaelezwa kuwa na mafuta yenye kiambata aina ya Omega 3 yanayomfanya binadamu kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri, kutunza kumbukumbu na kuishi kwa muda mrefu.