Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waangalie Wakerewe. Mwangalie Andaeitiini. Mtoto mdogo lakini utafikiri ana PhD ya kuvamia mazizi ya watu na kuyaharibu tena bila huruma wala woga. Mwangalie Mzee wa Liver. Mfalme Aliyejishindia ufalme kilaiiini baada ya kuukamata moyo wa Malkia. Bingwa wa Forex na Think Tank ya makamanda...

Inasemekana Ukerewe ndiyo kuna maprofesa na Phd holders wengi per square mile kuliko sehemu nyingine Tanzania. Sababu haijulikani ila samaki wanatajwa tajwa sana.
 
Andaeitin hana sifa za ben ten jamaa anaongelea topic ambazo zilikuwepo hata sijazaliwa,huyu ni zilipendwa mwenzetu kwenye koti la andaeitin
 
Tatizo kubwa kwa sasa ni Mercury contamination. Uchafuzi wa mazingira unawafanya samaki wapoteze sifa yao ya kuwa chakula bora kabisa kwa wajawazito na watoto. Marekani hapa wanawake wajawazito wanashauriwa wasile samaki zaidi ya mara mbili kwa wiki unless kama wanajua samaki hao mahali walikotoka. Mercury (inatumika kusafishia makinikia) hata kama ikiwa kidogo tu inasababisha watoto kuzaliwa mazezeta au vilaza wa kutupwa !!!
 
Bora umenisaidia kugoogle hapa network inanisumbua.

Ahsante Numbisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…