mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kupeana taarifa ni muhimu likes kwa kila postMimi nitaendelea kukumbushia tu (aka kulalamika) kila ninapohisi mambo hayaendi sawa. I hope na wenzangu wataendelea kufanya hivyo. Sijaanza leo wala jana kufanya hivyo na sijui kwa nini leo imekuwa nongwaaaa
Poa mkuu salamu zimefika hila hata Mimi nilibanwa sana Leo lakini tupo pamoja sasa mpka mida ya wangaHabari yako mwana liver mwenzangu, ukimuona nsamaka na mzee andjul waambie nawasalim. Majukumu yamebana kidogo bro
Hapa ni sebuleni, ni bar, ni kijiweni, ni chumbani. Ni mahali pa furahaHumu ni wapi
Pilau si birianiBiriani siyo pilau
Salama kabisa,sijui hukoHabari yako mkuu, niaje, kwema? Nimependa utetezi wako pale kwenye ule uzi wa masimango
Halafu wewe[emoji6]Hahahaha
me mpole kabisaa
Kazi ni mhimuTuko wengi wa aina hiyo
Pamoja mkuuJamani nawaomba mnipe ruksa narudi nyuma kidogo nikagonge likes na pia niangalie hali ya mijadala ilala vyokuwa kwa saa 24 zilizopita
[emoji106] [emoji106]Ugali siyo uji
Ndoa si mimbaMimba siyo ndoa
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Upumbavu si ujinga
Nawe piapokea likes
Yaani acha tu machungu ya mwaka jana kwenu naona yanakuja kwanguAaah wewe bora bahati huku tukiwa juu ya chart sasa jaman mweleka mkali na kupigiza kisogo humo humo na bado mnakaribia kudondokea mkiani aiseee
Si lazima awe mleviLazima awe mlevi
Nashukuru kusikia hivyo kipenziAsante kipenzi, nikupendae, nikuwazae Mara nyingi, uishie ndani yangu.
Niko powa Mungu ni mwema
Nimekupa my All.
Uji si ugaliUgali siyo uji
Ujinga si upumbavuUpumbavu si ujinga