carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Shikamoo babu-Kuwinda vindege Kiwalani/karakana kwenye mashamba ya mpunga?
-Kucheza mpira kwenye viwanja vya RTD?
-Kwenda disco IMASCO na kandambili? Maana viatu ilikuwa unavuliwa na wahuni pale makaburini Mombo
-Kwenda kula chips za ukwaju kwa Macheni huku unawachungulia waleeee akina nanihii?
Kwenda Coco beach /msasani club kwenye mashindano ya Prof. Jay halafu mnarudi kwa mguu mpaka Tmk? Usafiri sehemu hizo ilikuwa mwisho saa mbili usiku. Coco beach usafiri wake unakuja kubahatishia Kariakoo
Salama bibie habari ya usiku huuSijambo
Habari yako
HahahahahaHamzidi Wenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa jamaa nao hawa. Hovyo kabisa....Wahanga wa kujilipua wa BOKO haramu waleta maafa Nigeria
Hebu acha wivu mke kakushinda,acha vijana wauguze[emoji23][emoji23]Na yale maua yanahusikaje hapo sijui sipidi nini rikavare?
Hata maua anashindwa kutuma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We kazi ya kuuguza ishakushinda acha wakusaidie tu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Napenda hiyo nyimboStevie Wonder
I just call[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji173]
The leastTo say..........