Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani ile umefika mlangoni tu,mtama[emoji23][emoji23],hujakaa sawa panga la ugoko,hujapiga kelele pilipili ya macho[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndo utajua kama mke wa mtu ni sumu au vipi

Duu, hatari! Ila unajua ukitaka kuinvest, zile stock zilizo za hatari, ndio zina return ya kufa mtu! Kwa hiyo, kwa aggressive investor kama mimi, hizo stock za hatari ndio my way to go! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…