Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole yao....

Walitutandika manne bila wakajidai weee. Nao wakaja wakapigwa tano bila na leo tena mbili bila. Hali siyo mbaya kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]

Kushabikia haya mambo utakuwa unasononeshwa tu kila siku. Ingawa utakuta wanajipa moyo eti ooh, huo ni mchezo tu! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…