Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuokoka ni matendo siyo maneno. Kameokoka lakini bado kanatembea na tani kadhaa za maua kugawia wake za watu na michombezo kadhaa juu yake. Wokovu wa aina gani huu? Hatudanganyiki !!!

Kuokoka hakukufanyi uachane na mambo ya jando jamani! Maua ni suala la upendo wangu kwa wanaonizunguka, siyo suala la michombezo! Kwa mhitaji wa maombi humu sasa hivi, nistue/nitag tunene kwa lugha! [emoji23][emoji23]
 
Ulisema una tung'ombe tuwili. Tulikuwa tunasubiri angalau tuongezeke ongezeke kidogo tufike hata 10 hivi. Usije tu ukatuletea ujanja wa kutudhulumu kama Andjul alivyotufanyia kwa Nsamaka. Ndo maana hata ndoa yake imeyumba sana!!!
Hahahahaha! [emoji54][emoji54][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…