Natoa huduma ya maombezi leo saa nne usiku hapa mtaani kwangu! Nawaalika,
nsamaka, Numbisa, carbamazepine, babe S na wengineo! Sijakaalika ka jakitoo hapa maana kale du, ni kwenda nako mdogo mdogo mpaka kastuke, tayari kanakuwa kanafurukutia chini ya mvungu wa gari! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Tena uchochoro wa uwanja wa fisiYap baada ya hapo Brazil imekuwa uchochoro tu
Wadau HahahahahaShemeji vipi tena? Athari za kufakamia "konokono" zingalipo ama? Kwema lakini? Sikuyo yaendaje? Uko sawa? Ushagonga jibapa tayari ama?
[emoji777] Kubong'oa
[emoji818] Kubong'olewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeliona. Mbona limezidi kidogo tu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi umeliona vizuri lakini babe....
[emoji9] [emoji9] [emoji9] nkukundi mkoromije
Mafundi haoKocha aliyepita akiwa kwenye zama za uchezaji wake Jose Erinque
Unasema mwakaaaa!!!!!!!Nakaribia kukata mwaka sijaonja hao viumbe jamani. Mbwembwe za humu zisichukuliwe kama ndiyo uhalisia. Jangwa la Sahara lina unafuu nikilinganishwa nalo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ongeza mkuu. Kutoka 20 mpaka 35 kama Andjul kwa Nsamaka. Unasemaje?Duu Mke sindio huyu mtoto kafundwa kafundika. Sijuii SYB nikuongeze ng'ombe??
Mdogo wake ila kama mapachaHuyu dada kafanana na v money
HahahahahaHivi punde anatulizwa na posa ya mtoto wake kimya kitaendelea
Huyu Kanye West ananiboa huyu
Nakuona unavyojifariji[emoji57]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]mnisamehe bure walah![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] sijui carba kalitoa wapi! Maana alikuwa anajibu "mtaka cha uvunguni...''[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] uuuwiiiiiiNimeliona. Mbona limezidi kidogo tu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
HahahahahaNilikuja kukucheki tu na kuona kama kale kashua ka Kikerewe na yule Shabab wannabe hawajaleta madhara. Nakusoma. Nakuona. Umependeza....[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Pyeeee kisaaaaa[emoji41] [emoji41] [emoji41]Huyu Kanye West ananiboa huyu
Mmmh , hilo ni jambo gunu sana
HahahhaajNamshukuru Mungu kwa kila jambo.Nilikuuliza kule tangu juzi bila majibu mpaka sasa.
Sasa mkuu,hiyo tiki uliyoiweka inamaanisha jibapa ndo linabong'olewa? Au sivyo hivyo(tuanze kukimbizana na bakora humu)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante...mbakie poaPole sana dear... Usiku mwema