Timbwilimbiz
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 201
- 174
Umenikumbusha nchi fulani nilipokuwa nasoma yalinikuta hayoI used to like my neighbours, until they put a password on their Wi-Fi[emoji17][emoji17][emoji17]
La niniNatangaza Dau
Mungu anawaona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Fake whaaat[emoji23][emoji23][emoji23]
Majukwaa haya uwepo wako ni mpaka saa 12 jioni, kuanzia hapo hufunguliwa picha za aina hii. UMRI WAKO HAURUHUSU KUONA VITU KAMA HIVINitake radhi Dogo
Kwema humu hujambo weweHello humu!?
Kwan unamkata hata yule anayeutumia kukata.Sheria ni msumeno
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Moses aliambiwa atoe viatu akanyange kwa moto........wewe ukiambiwa utoe panty uingie kwa bed unakunja sura.. Whats wrong with you!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali maana....Weeeeeee Shindwaaa!!!!
usingizi hauwezi kukata, hata ukikata naenda kwa SYB wangu huku siji ng'oooo
HahahaUlisema una tung'ombe tuwili. Tulikuwa tunasubiri angalau tuongezeke ongezeke kidogo tufike hata 10 hivi. Usije tu ukatuletea ujanja wa kutudhulumu kama Andjul alivyotufanyia kwa Nsamaka. Ndo maana hata ndoa yake imeyumba sana!!!
Inaweza vuta majangaSubira huvuta kheri
Kweli kabisa hapa ndio sehemu ya kutengeneza marafiki usio waona. Hapa ni amani hakuna kuvuruganaHahaaa... Nategemea huchukulii mambo ya humu seriously, tunachangamshana tu hapa! Huo Ukatekista wenyewe tu siuwezi itakuwa uchungaji? [emoji23][emoji23][emoji23]