Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kijana anapima maji ya mto na mguu
HahahahahaNilikua nasoma kwenye makala za Le Professeur Wenger akiwa anasimulia maisha yake ya Japan wakati anafundisha timu ya Nagoya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona waalikwa wote wanawake....
Afadhali umeshtuka hujakaalika ka Jakitoo kangu karembo kamalaika. Wangekuona kesho kwenye tiviii dadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sanaNi hatari kabisa ukiwatch zile muvi za hotel in Rwanda ndo utajua
Hahahahaha that my boySi wanasema ladies first? Kundi la pili litajumuisha wote! [emoji23][emoji23]
Lile deni la kk Cole analijua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weeeeee!!nuache kabisa
Maombezi gani hayo ya saa4 usiku?
Kwanza Cole hawezi kubali na hata akikubali siwezi kuja[emoji23][emoji23][emoji23]
Maombezi sa4 usiku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lini?Uzi ulipotea
Moneymakers are losers because they have nothing more to make after itNyie Gongeni likes wenzenu wana Make money,