Hahahhhhahha kulazimasha nanihii mwisho utajinyeaUna bahati, ungekaa kaa kidogo na ungemjua yego ni nani
Sio mkwara ndio ukweliUlivyo na mikwara sasa[emoji23][emoji23]
Hebu m ho chi minh kwanza maana anasumbua wazee wa humu huyu kijana
LIKES KWA LIKES
Hahhah Nimeenda nimeona vijana wanauza karanga wanadhani wanaweza kuwa kama DiamondUlale salama
Ila usirudie kuzamia tena
Hatari sanaTume ya uchaguzi na mipaka ya Kenya haiaminiki. Kwanza wamekataa kuwasilisha vielelezo muhimu vya ujumuishaji wa kura mahakamani. Na hiyo ni moja kati ya sababu zilizopelekea mahakama kutengua matokeo. Lakini bado ni watu wale wale wanaotakiwa kusimamia uchaguzi huo. Hii nchi wanakoelekea kuna Giza. Tusubiri tuone