mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tatizo maombi yako yanatag wadada tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yes! Lazima nipigishe maombi ya nguvu humu, watu wanaihitaji huduma hii muhimu, nimedhamiria kuwaokoa kondoo ambao nadhani wanaelekea kusiko! [emoji23][emoji23]
MKUU SIO VIBAYA UKIWEKA POSTI PIA NA LIKES KWA WENGINE
Hapa nina uhakika hakuna anae chukulia serious zaidi ya Upendo.You never know! Inabidi tu uwe muwazi wote wakuelewe! Unaweza kustukia mtu amekununia hapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo mdogoSIKU INASHIKA KASI
Fake pastor[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana. Alikuwa anakaongelea kale kachungaji feki kutoka Nansio Ukerewe. Bila shaka utakuwa umekafahamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya MogadishuAcha vitisho kijana, kuna mtu anaitwa Bob 12 ameshaiva kiujasusi, akivamia hutamfanya lolote. Bob muone huyu anatisha watu
Mkuu uchwara ni niniKwa siasa (za Afrika) haki yaweza kugeuka dhuluma and vice versa. Mtu anaiba kura matokeo yakifutwa anaanza kulalamika eti haki haijatendeka !!!
Hata Jecha pengine anaamini kuwa alitenda haki. Haki ni nini katika siasa zetu hizi uchwara?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama vile namuona. Atasema Nissan Patrol...
Halafu yule si ajabu huwa anaangalia makusudi, anajikamatisha halafu anautumia huo mwanya kujipatia "konokono" kwa urahisi. Mzee mjanja sana yule. Nshamshtukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo roho kwatu kabisa lakini sio yale matembo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cc:mzee wa liver vitu vyako hivi
Du hatari kweli