Wewe ni ndugu yangu lakini umekataa masharti mepesi kama hayo..basi sawa, nami nitakuwa nasapot chochote kutegemea maslahi yangu yatakvyokuwa.[emoji3] [emoji3]Naomba tu niwe muungwana, hilo sharti ni gumu sana kulitekeleza! [emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Me sitaki kuombewa kama pepo lenyewe ni ubuyu
Mkuu sio mimi,nilikuwa namtahadharisha kwa Yego,mimi mbona ni nyuki wa kwenye pumba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh teh mzee wa tukuyu anavamia mdogo mdogo, SHIMBA umemuona huyo.
Kwahiyo unachagua eeh,Nakula naachaje kwa mfano?
Sawa nitaifuta harakaHii picha ifute bhana haipendezi[emoji57][emoji57]
mtoto atakuwa kwenye hatari ya kupata infection kupitia njia ya uzazi au kitovu kuhamishwa toka sehemu husika na kushindwa kumpelekea mtoto hewa ,ikamsababishia kifo au matatizo ya ubongo wahi kituo cha afya.
Hupata pneumoniae....Watoto wenye infection kwenye mfumo wa hewa.