Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyayo inapata umbile lake kutokana na uwepo wa mifupa ya mguu wa chini, pia zipo nyuzi ngumu za ligament, nyuzi ngumu za miishilio ya misuli ya eneo la chini, tishu zilizojitanda kama kitambaa kigumu pamoja na mabunda ya mafuta na tishu nyingine.
 
Ndiyo maana watu wa makabila kama Wamang’ati wa Tanzania na Xhosa wa Afrika Kusini, wanaendelea kutembea pekupeku katika mbuga zenye miba na visiki vyenye ncha kali.

Uwezo huu wa kutembea bila madhara yoyote umetokana na uwepo wa nyayo iliyojibadilisha kutokana na mazingira hayo na kuwa nzito zaidi na ngumu kutoweza kuruhusu vitu vya ncha kali kupenya.
 
Angalizo muhimu: Hakikisha hizo mboga zimelimwa bila matumizi ya makemikali makali. Vinginevyo utakula makemikali laivu wala hayajachemshwa wala nini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…