Vinasaba hivi ndio chanzo chaa tofauti zilizopo duniani, kati ya binadamu na mnyama, kati ya mtu mmoja na mwingine. Hii ni kwa sababu ya mipangilio tofauti tofauti iliyopo katika vinasaba.
Mipangilio ya vinasaba tofauti tofauti ndio huleta pia tofauti pia za kijinsia, warefu na wafupi, weupe na weusi kwani vinasaba ndio sehemu inayotoa taarifa kwa shughuli zote za mwili.