You tooGooooooood Morning Friends have a nice and Blessed Day..
MhKwa kutumia mkojo unaweza kutambua hali ya mwili na hitilafu katika figo. Mfano kwa kuzidi kuzidi kwa kiwango chaa sukari mwilini kutokana na kasoro katika uzalishaji wa insulini mwilini sukari nyiki hutolewa katika mkojo. Kwa kuwa na sukari nyingi katika mkojo huweza kuonesha kama mtu anamatatizo ya kisukari.
Kwa kasoro katika utoaji mkojo unaweza kutambua kama figo za mwili wako hazifanyi kazi ipasavyo.
Na pia mkojo huweza kutumia katika utambuza wa hali mbalimbali za mwili kama ujauzito. Mfano; katika ujauzito kuna homoni ambzo uzalishwa katika kipindi cha ujauzito na kutolewa nje kama taka mwili kwa njia ya mkojo. Upatikanaji wa homoni hizo katika mkojo huashiria kwamba mtu ana ujauzito.