Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Me mwenyewe siwezi kwanza siwapendi,paka nina allergy na manyoya yao...
Wanaofuga wanamoyo
Si afadhali hata hao paka, utata ni nguruwe, ng'ombe na mbuzi. watu wanaofuga wanyama hao maeneo ya mijini na hasa kwenye makazi yao, huwa nawaona kama viumbe toka sayari za mbali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . yani zile harufu na uchafu wao daaa. Pole zao/ hongera zao pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…