Katibu mkuuBeef umenirudisha nimekuta malike yako balaa.
Sheria za Mipango miji zinakataza kabisa ufugaji wa wanyama mijiniSi afadhali hata hao paka, utata ni nguruwe, ng'ombe na mbuzi. watu wanaofuga wanyama hao maeneo ya mijini na hasa kwenye makazi yao, huwa nawaona kama viumbe toka sayari za mbali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . yani zile harufu na uchafu wao daaa. Pole zao/ hongera zao pia
Najua una pesa na umedata namii oooh nachokuomba sugar mamii punguza wivu mamii...sugar mamiiiiii mama kubwaaaaaaah sugar mamiii mamaaa kubwaaa*2 Mack Dizzo feat Dully.
Who Are You To Judge The Life I Live? I Know I'm Not Perfect And I Don't Live To Be, But Before You Start Pointing Fingers, Make Sure Your Hands Are Clean.
YapPata elimu pitia uzi wa like
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halitaenda, maana hakuna zawadi ya kuku from town to village. [emoji3] [emoji3] [emoji3] ukipeleka kuku kijijini utaonekana hamnazo
Ukigongwa like na we gonga
Mkuu mambo vipi upoGood
Yaani umepewa dedication na wewe unanipa hiyohiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli dunia duara....ngoja niende zimbabwe mie[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mbona kwangu hamlike???[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
Kimbiza kimbiza Uzi unazidi kupaaaaa zaidi ya bombadia yetu
Habari yako mzee wa liver
😀😛Kama likes tu wagumu kutoa...je kutoa sadaka simtaomba hadi risiti ...