Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1. Nawa uso wako angalau mara 2 kwa siku kwa kutumia sabuni nzuri ya kuua bacteria. Osha uso wako pale unapomaliza kufanya mazoezi. Pia unatakiwa kubadilisha taulo yako au kuosha sababu bacteria wanaweza kuzaliana kwenye nguo isiyo na usafi.
 
4. Kuna badhii ya watu wingi wa chunusi husababishwa na aina ya vyakula wanavyotumia. Hivyobasi unatakiwa kuwa makini kuangali aina ya vyakula unavyotumia na kuacha vile ambavyo unahisi kuzidisha chunusi usoni kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…