Hahahhahhahhahhahhahahha asante sana ShemejiNsamaka kakushinda?
Mkuu uko wapiHahaha huku ni mchana
Dah, songi la are you that somebody nikilipiga ktk sound system huwa linakolea sana!!Rip Aaliyah nimeangalia sana mkuu
Kama Nsamaka kakutoa kamasi, utamuweza nduguye???Mfikishie huo ujumbe mwambie kuoa mke mzuri ni kijitafutia matatizo buree[emoji3] [emoji3] [emoji3] imefika mahali heri nitumie mbinu za medani ili nikupapachue mikononi mwake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mtoto Carba huyo
Carba nakusalimia tu kwambali.
Nipo shemeji ndo nimeingia,siku ilikuwa ndefu kidogoJamani. Shemeji yangu Carba leo kaonekana humu?
Na full kuvunja ndoa za watuHapa hakuna mapambano, ni burudani mwanzo mwisho, hakuna povu, hakuna ban. Yaani ni full upendo
Carba umenimiss eeeee. Umeona kapicha kako niliko kapostHivi selection za shule bado[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mbona mnapotea sana ndio mnapiga mapindi ya pre form one au?
Nawasalimia,habari zenu bhanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ijumaa hiyo inaishilia. Ni wikiendi. Sikuona salamu yako. Ushanizoesha vibaya. Uwe na wikiendi njema...Kesho ipieloo [emoji23][emoji23][emoji23]Nipo shemeji ndo nimeingia,siku ilikuwa ndefu kidogo
Ijumaa yaendeleaje?