Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha SYB hiyo niliyotuma ni yake kwa 100%
 
Aiseh nimepanda daladala inafanya route ya SIMU2000 - MBAGARA ina mende ndani wanakatiza yani sijawahi ona before kitu kama hiki abiria tunabaki tunashangaa. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hiyo sio ajabu

Mimi mwenyewe niliwahi kusafiri na Mende kutoka Ubungo- Gongo la Mboto lakini aliniponyoka ndani ya gari mchana kweupe watu wakawa wananishangaa.

Mimi nikasema wanashangaa specimen sijui walisomea chini ya mti!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…