Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani kile kipindi kilikuwa hatari,vita baada ya vita,KK anatembea na pete zake za visoda mkononi[emoji23][emoji23][emoji23]
Those were the good days
Tumetoka mbali jamani. Ndiyo maana hata ikitokea tukakwazana inabidi tusameheane tu kwa sababu hakuna namna.....

KK nikimkumbuka enzi zake ilikuwa kazi kweli kweli. Kila siku kugonganisha magari. Sammyluv akawa anamgombania na QUIGLEY akapigwa chini. Baadaye akaja Kejo (sina uhakika na jina). Shemeji we sijui kama ulipona [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️.

Ilikuwa burudani kwa kweli. Ila funga kazi ilikuwa ni vita ya kumgombania Baby S. Haitakaa itokee tena !!!
 
Shemeji achana na maneno ya uniq amini ninachosema[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…