mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mama TANZANIAMimi pia. Nimeshafika nchi zaidi ya 25 duniani kote lakini bado sijaona nchi nzuri kama Tanzania. Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu !!!
Actually sasa nadhani Mrusi ndo ana mengi zaidi. Chini ya Bush na Obama Wamarekani walijaribu sana kupunguza ya kwao hasa yale ya zamani. Ni gharama kubwa kuyatunza kuliko kuyaharibu japo mahali pa kuyahifadhi wakishayaharibu napo ni shida.Kila nikiangalia masilaha aliyonayo American Na anatengeneza mengine kila Siku hatari sana
AMUN RAPray for Somalia
AMUN RAPray for Congo
AMUN RAPray for Syria
Sasa habari za mumeo waniuliza mie?au umeachika nichangamkie fursa[emoji23][emoji23][emoji23]Hv andjul umeshamrudisha?
AMUN RAPray for Yemen
AMUN RAPray for Sudan
Watu wa likes hamjambo? Jumamosi inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
YapUzi upaaa kwa kasi ya kutisha
Ikitokea ukaulizwa waziri wa elimu ni nani lazima wanafunzi wafeli maana kila uchwao wanakuja wapya[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uniq na dadangu wakiwa wamejificha wananong'ona. Yaani nimewaona kabisa laivu kichwani. Mikwara yako si ya kispoti spoti aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamkojo wa kupimwa?mana siku hizi umekuwa mchochezi[emoji23][emoji23][emoji23]Cc carbamazepine