[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]magroup ya WhatsApp ni kama mchezo wa Mpira wa miguu, uwanjani watu 25, jukwaani watu 60,000
group linaweza kuwa na watu 256, lakini wanaochati 6 tu, wengine watazamaji
Kwa kila postWeka post tugonge likes
Gonga likes tuelewane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukubwa wa pichu = ukubwa wa msambwanda? Siyo lazima bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukigombana na mkeo mwache aende kwao, using'ang'ane kutuma watu huko kumrudishaa.
Tunajua majirani wana fitina sana, so what you do, nenda kariakoo nunua chupi tano kubwa kubwa colours tofauti.
Zifue alafu anika mapema kwenye kamba ya mlango yako. , Watampigia mkeo simu wakimuambia sasa ameleta mwingine mwenye chura kukushinda wewe.
Kesho yake asubuhi utaona wife yuko mlangoni na kilio juu, na kuanzisha vurugu mwisho wa ugomvi atakwambia na siondoki mpaka nimuone huyo malaya wako, Watu ni kusaidiana bana!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Salaam kwako mfukua makaburi[emoji3] [emoji3]
Mwanamume aliyekulia na kulelewa na michezo ya mombasa, hata akikutunza ni kazi bure, lazima utoke mtaani utafute machine ya kukunia uti wa mgongo[emoji3] [emoji3] [emoji3]UTAJISKIAJE MWANAMKE AKIKWAMBIA
Eti,,mwanaume Mashine Duh Babu mwanaume matunzo Mashine kafyatulie tofali
HahahahahaUKIAMBIWA TANGA KUNA RAHA UWE UNAELEWA
Tanga hata majina ya mabasi yanakupa raha, yaani Tanga utakuta mabasi kama RAHA LEO, TAWAKAL, BEMBEA, TASHRIFF, BURDAN, TAHMEED na hata SIMBA nayo ni SIMBA MTOTO yaani hutishiki
Sasa njoo mikoa ya watu wa shari... utasikia BUFFALO, NEW FORCE, KIMBINYIKO, MAJINJA, THE NAVIGATOR, KALUBANDIKA..nk
Mnaambukiza tabia mbaya mpaka magari