Kwani miongozo ya kisiasa ilizuia urafiki mkuu? mbona hata sisi tuna marafiki wa kisiasa hapa home ingawa kwenye majukwaa ya kumwaga povu mtatukanana, lakini urafiki wetu upo tu!!!![emoji3]Walikuwa marafiki wakubwa japo mpaka leo haijaeleweka ni kwa nini hasa ukizingatia kuwa mmoja alikuwa Mjamaa/Mkomunisti - kinyume kabisa na mwenzake....
kweli..Mmojawapo wa wahanga wa mwanzo mwanzo wa UKIMWI wakati ule wakinyanyapaliwa. Ronald Reagan alikataa kuutanganza kama janga la kitaifa ili tafiti zianze kwa sababu aliamini kuwa ni ugonjwa unaowapata mashoga pekee. Baadaye alikiri kuwa hili lilikuwa ni kosa !!!
Mkuu habari yakoamani na upendo
Mkuu habariTumshukuru Mwenye enzi Mungu kwa ulinzi Na neema Na baraka zake kwa Siku ya Jana
Njema bro, habari za jioniMkuu habari ya asbh
Hahaha umekuja kwa vitendo kbs.
Vitendo daima ni bora kuliko maneno matupu. Kwema bageshi?Hahaha umekuja kwa vitendo kbs.
Kwema kbs, sijui hukoVitendo daima ni bora kuliko maneno matupu. Kwema bageshi?