Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutokua makini; tatizo la kufanya mambo haraka haraka huleta kusahau sana, kama wewe una mambo mengi amka mapema uyafanye ila ukianza kukimbia kimbia njiani ndio chanzo kikuu cha kusahau mambo mengine, pia tabia ya wanafunzi kusoma kwenye kelele sana au huku wanasikiliza mziki hujikuta hawaambulii kitu baada ya kufunika daftari.
 
MATIBABU
Matibabu ya yasiyo ya dawa {non pharmacological treatment]
Kuacha tabia hizo juu ni njia bora zaidi ya kurudi katika hali yako ya kawaida japokua itakuchukua mda mrefu kidogo.lakini pia kuna njia za kufanya ili kuweza kukumbuka vitu baada ya kuacha tabia hizo hapo juu kama ifuatavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…