Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mimi huwa naandika kabisa. Inasaidia !!!Fanya hicho kitu kitu sasa hivi: kama unataka kufanya kitu Fulani na hauna kazi nyingine kwa sasa basi kifanye sasa hivi ili usisahau tena baadae.
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Mama na mwana View attachment 609495
Hapa piga ua,talaka yangu utatoa ama sivyo wewe bwana nitakuonyesha[emoji445][emoji445][emoji445][emoji23] [emoji23] [emoji23]Carba. Naomba utupie neno hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Talakaaaaaa....[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Duh! Universal problem hii....Upigaji wa punyeto: tatizo hili la kusahau kwasababu ya punyeto ndio chanzo kikuuu kwa vijana wengi chini ya miaka 35 kwani tabia hii huambatana na maumivu ya kichwa, uchovu mwingi na kusahau kusiko kwa kawaida
Dah!acha kabisa maisha haya[emoji23][emoji23]Hatari hii. Akitoka humo akiambiwa nitukanie mama yako, atayashusha matusi yote ayajuayo! [emoji23][emoji23]
Eti sifa za kisasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah! Jamaa ana hoja dhaifu sana. Eti kwa vile wanawake ni wengi basi anafikiri hatatoswa. Kutoswa kuko pale pale tu aisee hasa kama hana sifa kuu za kisasa...
[emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10]Nini[emoji6]
Au ulilala kona pale[emoji23][emoji23]Ndio sijui imeishaje[emoji6] [emoji6]
Beef Lasagna nakusalimiaMama na mwana View attachment 609495
Mpaka sasa hakuna tiba ya dementia wala Alzheimer. Hata visababishi vyenyewe tu hawajajua.Kuna hali kitaalamu inaitwa dementia ambayo hutokea mara nyingi katika umri mkubwa na huambatana na kusahau kuliko pitiliza yaani kupotea katika mazingira unayoyafahamu, kusahau majina ya kawaida kabisa kama embe, pazia, kiti na meza, kurudia kuuliza swali la aina moja kila siku, na kuchanganyikiwa lakini hali huu huletwa na magonjwa Fulani mfano Alzheimer's disease{hii hali ni hatari na hutibiwa kitaalamu}