carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kweli kabisa,usione watu wanacheka ukaona wako sawa wengine wana mzigo mizito ni vile tu wameamua kuficha nyuma ya tabasamu ama vicheko vyaoKila mtu ana mizigo yake. Unayemlalamikia na kumlaumu wakati mwingine ana mizigo mizito ya matatizo kuliko uliyonayo wewe.
Asee vipi, wife wako umemuona hapa, maana kuna muda nilimuona kwa mbaaali akisalimiaWakiniona wale wa usiku tu wataning'ang'ania, then nataka nikaikute yamoto kwa baby wangu, kabla haijapoa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MkuuHollerback
Habari jiraniJirani jirani..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] walahISIS angekuwepo hapa ungesikia tu AMUN RA...
Malalamiko ni sehemu ya post za kusakia likes [emoji3] [emoji3]Waache "wanaolalamika" nao watumie haki yao ya "kulalamika". Nadhani hawalalamiki bali wana-chit chat tu kama ilivyo kawaida ya uzi huu[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Asante shemejiAiseeeeee! Pole sana shemeji. Mungu Yupo nawe na hilo tu linatosha !
Mimi wala sina ishu kubwa. I think I am just missing Koromije basi. Can't wait to come back home....
Oni mai weiiiiii[emoji23][emoji23]Lete shemeji. Nitashukuru sana !!!
(Naomba Mzee wa Tukuyu asione hii comment) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo dogo hataki shule,mzee wake ndo kamfunga kamba na kumpeleka shule kwa lazimaNini kinaendelea hapo?