Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Hahaa, you’re playing smart; don’t ya?
Cc @cabamazepine! [emoji23][emoji23]
Hutaki kupata kazi Langley, Virginia, VA
 
Kihispania eeeh
 
SIMULIZI, NDEGE WA AJABU. Watoto wenye umri kati ya miaka 9 -13 walikuwa wakicheza upenuni mwa kijiji chao. Wakati wakielekea mwisho mwisho mwa michezo yao muda saa 12:15 jioni, mwenzao mmoja akatoa wazo kwamba watoboane macho ili waone namna vipofu wanavyomudu kutembea bila macho. Baada kukubaliana na wazo hilo, uamuzi ukakubaliwa kwamba aliyetoa wazo ndiye awe mtu wa mwanzo kutobolewa. hivyo wakamuweka sawa na kumtoboa macho kwa kipande cha mti. Baada kumtoboa mwenzao watoto wote wakatimka mbio hasa hasa baada mwenzao kulalamikia maumivu.
 
Nimeona hataki kusema[emoji23][emoji23][emoji23]mjanja sana huyu jamaaa
Langley mpaka uwe Mmarekani. Na background check yake siyo ya kispoti spoti. Isitoshe kwa sasa wanaosakwa sana ni wazungumzaji wa Kiarabu (lahaja tofauti tofauti), Kiurdu, Kihindi, Kichina (Mandarin) pamoja na Kisomali.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…