Mungu wa rehema[emoji120] [emoji120] ,faraja i mkononi mwako sasa.Mbona umekasahau Kaandaeitini kwenye hiyo orodha? Usiku kucha kanahonga maua, mvinyo mpaka na viatu vya mchuchumio. Sasa hivi kanapigania talaka hakalali kabisaaaa...
Mimi na Jakitoo siku hizi tunauchapa bila wasiwasi. Baada ya Bob kupotelea Mogadishu na Kaandaeitini kugeuzia makombora kwingine, mambo yametulia sana na sasa ni kula na kupakua tu full magego....
Mungu ni mwema,sisi wote ni wake (asema Bwana).Hayo ndiyo maneno ya Mnyakyusa aliyekomaa. Huku kwema kabisa. Hata nyumbani hali siyo mbaya. Tumshukuru Mungu kwa yote !!!
Niambie mama wa mie,faraja ya ndugu yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemejii
Kaandaeitini kamefanya timing ya kufa mtu. Cole hayupo hata akija ni kulalamika tu. Wewe haupo. Yaani binti wa watu kajifaragua weee mpaka naona mwishowe kaanza kulainika. Talaka ilitishiwa mara nyingi na Kaandaeitini kakasema eti katajitolea kulipia gharama zote. Kuna tensheni kubwa. Afadhali umerudi japo Carba naye haonekani. Sijui ndo anafainolaizi divosi hata haieleweki aisee....Mungu wa rehema[emoji120] [emoji120] ,faraja i mkononi mwako sasa.
Andaeitini hata haelewekagi anataka nini, Cole yupo kwenye wakati mgumu sana(nilimkanya sana Cole,hakunisikia,carba ni mvumilivu sana mtoto wa watu) wa kurestoo ndoa yake. Najuutaa sana(hata sijui naumia kwa ajili ya nini) carba kurubuniwa na Andaeitini,utadhani mimi sipo!!!!?!!....
Hizi updates ni za mechi inachezwa au za zamani?
Nzuri kamanda. Kwema huko?Habari za mchana huu wanalikes
Kula likes....kweli huu uzi maalumu wa kupeana like, kuna haja like moja ithaminishwe na jelo kisha tutoe kwa M-PESA/T-PESA/HALOPESA....
Doh![emoji30][emoji30]Msichana yeyote anayemsaliti mpenzi wake, moto umuwakie, meno ya mbele yatoke, nywele kichwani zitoke na pia apinde miguu..
Kwa mvulana anayemsaliti mpenzi wake, eee Baba tusamehe sisi, tufundishe tuyafate matendo yako, kwani hatujui tulitendalo...
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Toto la Jamaica hili. Na kile cha Alibakari linakamata bila wasiwasi. Na muziki linapiga....
Shemejiiiii !!!Doh![emoji30][emoji30]
Naona shemeji kiviruge umerudi na nguvu mpyaHapo wanaoongoza kwa uzembe wa kukosa usingizi ni:-
1.jakitoo(hata sijui kwanini)
2.carba (chanzo itakuwa ndoa)
3.Numbisa (anashughuli nyingi ila...)
4.Shimba ya Buy...(kisa, kajakitoo)
5.Kichwa Kichafu.(labda lindo)
Hivi,naanzaje kukosa usingizi kwa mfano??? Mijibapa yooote na JF juu....full kujisomea mpaka asubuhi.Kwanini nikose usingizi? (Mwe mwe mwee mnyakyusa mimi hata sijui naeleza nini???) Tujitahidi kulala mapema ili tusilewe sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu sikosi usingizi sababu ya ndoa[emoji57][emoji57]Hapo wanaoongoza kwa uzembe wa kukosa usingizi ni:-
1.jakitoo(hata sijui kwanini)
2.carba (chanzo itakuwa ndoa)
3.Numbisa (anashughuli nyingi ila...)
4.Shimba ya Buy...(kisa, kajakitoo)
5.Kichwa Kichafu.(labda lindo)
Hivi,naanzaje kukosa usingizi kwa mfano??? Mijibapa yooote na JF juu....full kujisomea mpaka asubuhi.Kwanini nikose usingizi? (Mwe mwe mwee mnyakyusa mimi hata sijui naeleza nini???) Tujitahidi kulala mapema ili tusilewe sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji106][emoji106][emoji106]
Huyu haeleqeki siku hizi ila akirudi mawazo yanapungua kiasi(naimani umeelewa)Umeanza....
Carba ukuje huku. Aliyepotea kapatikana. Chinjeni ndama aliyenona tufanye sherehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazubaa Nsamaka kachukuliwa na Mzaramo ohooo! Usicheze na wajanja wa pwani hata siku moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemejiii Polee shemeji yangu mpendwa.
Kwema kabisa and[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]... za kwako?
Kweli wewe na jakitoo siku hizi mnauchapa ila juzi ulini"katia"mimi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mbona umekasahau Kaandaeitini kwenye hiyo orodha? Usiku kucha kanahonga maua, mvinyo mpaka na viatu vya mchuchumio. Sasa hivi kanapigania talaka hakalali kabisaaaa...
Mimi na Jakitoo siku hizi tunauchapa bila wasiwasi. Baada ya Bob kupotelea Mogadishu na Kaandaeitini kugeuzia makombora kwingine, mambo yametulia sana na sasa ni kula na kupakua tu full magego....
"Mate"/shemeji/rafiki yako yule hajambo?[emoji124] [emoji124] [emoji124]Shemejii sikuhizi usingizi haukati kati ovyo [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13].
Nsamaka alikuepo hapa jana[emoji23]
Dah! Ameleta utani wa ngumi[emoji16][emoji16][emoji16]Halafu sikosi usingizi sababu ya ndoa[emoji57][emoji57]
Shemeji. Nilikukatia usingizi? Mimi? Basi nisamehe. Nilikuwa napiga makelele au nilifanya nini jamani?Kweli wewe na jakitoo siku hizi mnauchapa ila juzi ulini"katia"mimi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]