mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Unabaki naye Mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna cha talaka wala Andaeitini kupata mke, vizawadi vyake vya maua tena kajiti kamoja!!! Asilete mambo ya kifilipino hapa.Kama anaweza ahonge ng'ombe 20,au mpunga gunia 100,basi,hata akishindwa maparachichi fusso moja iliyo jaa pomoni.
carba ni wa ghalama sana,lasivyo nabaki nae mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekushindwa leo khaa!
Kwamba huoni natengengeneza fursa ama??[emoji19][emoji19]
Sasa mbona hutuliii na shimba wako jamani[emoji23][emoji23][emoji23]kutwa kupeana madedications hapa tena mbele ya macho yetu,shimba anamoyo wa nyama ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Atiiii ubadilishane na jaki whaaatttttt???
Carba cotton and condition of yours mama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba ubadilishane na nsamaka[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Shimba wangu muache[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jibu mubashara
Kumbe alisema anabaki na mimi[emoji23][emoji23][emoji23]Unabaki naye Mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zile talaka tatu eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]Fanya kweli bhana, ukate huo mzizi wa fitina! Mlime mtu talaka ya moja kwa moja, siyo talaka rejea! [emoji23][emoji23]
Hao ndo mashemeji zangu ujue,subiri watoe talaka kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaweza kuizuia makusudi kukukomesha tu shauri yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zile talaka tatu eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Carba carba[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] uu mchochezi....Sasa mbona hutuliii na shimba wako jamani[emoji23][emoji23][emoji23]kutwa kupeana madedications hapa tena mbele ya macho yetu,shimba anamoyo wa nyama ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:SHIMBA YA BUYENZE shem darling mkanye mkeo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pamoja mkuu nitakuchekiVitabu hivyo vya sayansi ya kompyuta hapo juu ni ghali. Ninavyo baadhi kama kuna mtu anavihitaji. Bure soft version...
Subiri hivyohivyoYes! [emoji23]
Koh koh koh kikohozi hiki jamani,ngoja nikanywe dawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwamba huoni natengengeneza fursa ama??[emoji19][emoji19]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mazoezi ya kukaa kwa mtoto aliyechelewa kukaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"hamlagi"eeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carba carba[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] uu mchochezi....
Mimi na cole tuu mashemeji we mwanamke, "hatulagi"[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Shimba baby usimsikize carba, mpenzi wangu!
Hakikakila lenye mwanzo lina mwisho
Yapumoja wetu ndio nguvu yetu