Kweli mkuuWakati mwingine unachokitafuta tayari unacho. Chunguza vizuri kwanza kabla hujaanza kutafuta kitu kipya....
Mnapenda ubuyu nyie mje Dodoma kila Kona ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah hapo sasa tena safari hii kuna ubuyu moto moto kila dakika
Mkuu tupoWakuu mpo