Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]leo kasema hapa kuwa kaacha tayari na harudi kwa dada yako kabisa.

Umeamkaje lakini?
Siamini mpaka dada naye aje akonfemu hapa; na kama kaachika kweli sasa yupo kwa nani. Najua Moudgulf ndiye alikuwa anataka kumhamishia pwani.

Mimi nimeamka salama kabisa. Nje kuna baridi na manyunyu. Leo itakuwa siku njema sana. J'mosi yako inaendeleaje?
 
Aiseeeh![emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mtu huyo mbaya anaweza kutuma ujumbe mbaya kwa marafiki au watu wako wengine wa karibu uliojiunga nao kwenye huo mtandao wa kijamii kama vile Facebook n.k. Mfano anaweza kutuma ujumbe wa kuwatusi au kutoa maneno ya vitisho na itaonekana kuwa wewe ndiye uliyetuma.
 
Dadako king'ang'anizi kama nini sijui....

Naona hali ya hewa shawishi[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwema tunashukuru Mungu[emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…