Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Achana na kumbukumbu ya maandishi,kwani ile SMS ya kwanza kabisa niliyomtumia baada ya kunipa namba alikuonyesha? Unayo kama kumbukumbu ya maandishi?
Wee mzee jiangalie sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwenye talaka ndipo pabaya lazima karatasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbukumbu lazima ziwepo hili Bibie ajiachie kwa akina Moud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…