Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nielekeze uko wapi nije sipendi uumwe bhana
Hata sio mbali kutoka hapa Temeke hospitali, pitia ya Tazara ila lazima uvuke Tabata relini.Ukifika Ubungo kata kushoto kwa mbele kidogo kuna stendi ya Mail moja,ipite tu hadi Msamvu.Kona za Iyovi achana nazo wala Kitonga usipaogope.Ukifika Ipogoro Iringa ninunulie mapeas,baridi ya Makambako isikutishe,jifunike kikoi.
Konda akisema "Uyoleee" shuka.Panda kosta za Tukuyu...ile unaingia Tukuyu tu kulia kwako utaona mlima mkuuubwa nimerundika maparachichi. Wee ita tu "syonangikee....mukwee....mfikile" lahaulaaaa!!! Sijui kichwa changu kitasimama kwa staili gani kukuchungulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Swadakta kaka, asante kwa baraka na kufunga mjadala.
Andjul rudi nyumbani sasa maisha yaendelee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa maelekezo haya hutaki aje !!!
 
Nimeishia kucheka tu mana hata sijaelewa ulichoandika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hayo maneno maana yake ni nini?nisije tamka matusi bure[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…