Indeed brother na AMUN RAHahahahahahah umenikumbusha uzi mmoja niliusoma jana. Jamaa ana mrembo wake wanapendana sana na wana match kwenye kila kitu. Jamaa katangaza ndoa mke mtarajiwa kamuuliza jamaa mie kwetu pesa zipo zipo na sipendi shida. Kwa hiyo uhakikishe una pesa za kutosha. Jamaa kauliza sasa nikiwa sina kwa mfano baadhi ya siku nitakukosa? Mke mtarajiwa kajibu utakosaje pesa si unazitafuta LOL! Kila la heri katika kusaka ngawira ni hobby moja bomba sana hasa pale unapofanikiwa.
Nakusabahi shemeji[emoji112] [emoji112]Mamiguu ya huyu mama jamani duh !!!
Muhimu sanaAmani moyoni
Mamboz mpendwa?Nakusabahi shemeji[emoji112] [emoji112]
Teh teh teh. The good news the queen is back so no succession issues!
Sasa ni wakati wa kukusanya walahi
Safari nyingine jaribu kuaga please. Ilikuwa mtafutano humu.Indeed brother!
Pesa pesa pesa
Niko busy kweli kweli walahi ndugu yangu!
HahahahaTeh teh teh. The good news the queen is back so no succession issues!
Indeed. Mibaraka izidi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sasa ni wakati wa kukusanya walahi
Nazikusanya babaSafari nyingine jaribu kuaga please. Ilikuwa mtafutano humu.
Kusaka pesa ni hobby nzuri inayomba sana hasa kama pesa nazo zinakupenda kama unavyosemaga humu. We zikusanye tu sis siye tuje tuzitafune hapo Masaki....