Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hadi ka wivu kamenianza[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kawivu ka nini tena shemeji? Unajua jirani yako yupo macho kodo. Shauri yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amina[emoji120] [emoji120]

Nimeitikia Dadiii namshukuru Mungu siku yangu iko salama kabisa, za kwako dad[emoji4]
 
Amina[emoji120] [emoji120]

Nimeitikia Dadiii namshukuru Mungu siku yangu iko salama kabisa, za kwako dad[emoji4]
Asante sana. Siku yangu ipo maridadi ajabu. Yego Mwanawasu waongela mmawaksi wachasugu kanifanya nianze gym na ndo nimetoka huko. Tayari kwenda kuisaka mibaraka yangu iliyoandaliwa kwa siku ya leo. Mungu ni mwema. Malizia masaa yako machache ya kazi yaliyobakia kwa amani bebi. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…