Nafuuu yego kafanya jambo la maana sana[emoji119] [emoji119] [emoji119] ..... Uwe na siku njema Darling,Mungu akutangulie katika kila jambo [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante sana. Siku yangu ipo maridadi ajabu. Yego Mwanawasu waongela mmawaksi wachasugu kanifanya nianze gym na ndo nimetoka huko. Tayari kwenda kuisaka mibaraka yangu iliyoandaliwa kwa siku ya leo. Mungu ni mwema. Malizia masaa yako machache ya kazi yaliyobakia kwa amani bebi. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jirani unavisa wewe khaa!wivu ukizidi nyumbani mapenzi hupungu...
Hama mtaa. Ikibidi hamia Masaki full kipupwe peninsula yeuwi wallahi money loves me.... Huko nasikia majirani hawana time na mtu...Itabidi nihame mtaa au niage huu ukoo maaana......
Sijamsikia kabisaHama mtaa. Ikibidi hamia Masaki full kipupwe peninsula yeuwi wallahi money loves me.... Huko nasikia majirani hawana time na mtu...
Na ukoo wetu hauhamwagi. Hata ukijaribu hutaweza. Andjul ushamsikia? Naona tangu tujitoe katika yale mapambano mwenzangu kaamua kuondoka jumla.
Amina[emoji120] [emoji120]
Nimeitikia Dadiii namshukuru Mungu siku yangu iko salama kabisa, za kwako dad[emoji4]
Me nakihitaji ila si bure [emoji125] [emoji125]Kipo. Soft copy. Anayehitaji. Bure!!!
jirani njaa ya mchana...sikumbuki hata nilichoandika.Jirani unavisa wewe khaa!
Majukumu yamekaba labda. Mungu bila shaka Anaendelea kumtendea miujiza [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sijamsikia kabisa
Nenda kale jirani maana......jirani njaa ya mchana...sikumbuki hata nilichoandika.
[emoji7] [emoji7]
Zilikuwa za kukutafuta weweMmmh hizi fujo haulali?
Sasa umeamka.Nimelala
Bure hutaki? Basi lipia...Me nakihitaji ila si bure [emoji125] [emoji125]