Shemeji shemeji!Hahahahahahhha. Karma is a .....
Hahahah niacheni wapenzi jamani, bado naipenda ndoa yangu.Vipi kuhusu Andjul sasa
Kweli sisi ni ndg tu jameni.Nsamaka ni poa tu, kwani vipi. Acha uoga, nsamaka na babe S ni ndugu, na imesemwa kuwa "kizuri kula na nduguyo"
Mm kwakweli nashukru sana kuwa mwanamke na hata ikitokea nafasi ya kujibadili, mm hapana.Ndiyo maana WANAUME ni wavumilivu, wapole na wasiopendaga ushilawadu na biff endelevu. Namshukuru mungu kuniumba mwanaume, pia na nashukuru kwa maarifa yake yake ya kumuumba mamangu aliyenizaa na kunililea. ALHAMDULILLAH. nashukuru kwa yote
Kbs huyu anachokitafuta atakipata tu."Unacho kitafuta utakipata" (asema Shimba ya Buyenze)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm na ww damu damu yaan mpk kifo kitutenganishe.Hana maana kabisa huyu jamaa...kazi yake in kupapasa tu kila akionacho mbele yake.Ipo siku atapapasa na...
Hahahhahah jirani unaanza fujo eeeh?Jamani Jana sikuwepo, naona nimetajwa sana na Andjul. Leo najibu tuhuma moja moja zinazohusiana na ujirani wangu, uchepukaji wangu, urafiki wangu, uchumba wangu na mwana wa KISUKUMU toka USHETU aitwaye NSAMAKA
Jamani bado sijaachika, nakapenda ka ndoa kangu hahahhaha.Hutaki kitu gani, x wa nsamaka acha maneno mengi, toa talaka mkuu
Jirani lkn umekuwaje leo?Kiongozi mkuu, mcheshi mashuhuri, mmiliki wa talaka ya nsamaka. Hujambo kionvozi