mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kkkBack At One ni wimbo ambao sijawahi kuuchoka. Hadi nilimdhulumu jamaa yangu kanda yake niliyomuazima sababu ya hii kitu. Miaka hiyo natumikia KKK, yaani kula, kulala, kunya bure.[emoji28] [emoji28]
Nasemaa "mtalaka hatongozwi"... Isije kuwa nilikuja kwa ajili ya....Kwhy unatangaza umeniacha? Je aliepo humu ndani ni nani?
Nina taarifa zake nyingi saaaanaaAu hukutaka Andjul ajue kuwa lile genge ni lake??
Sorry
Sawa kabisa,za kwako zichane kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeuliza Shemeji maana....... mwenzako anyolewa.....
Nasema sio kweli...Afadhali Shemeji.
Pamoja na kukitengua kiungo chake muhimu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha Dawa yake asione App ya JF
Heshima shemeji. Mheshimu dadangu bana. Tena mbele ya kandamnasi hivi? ☠☠☠☠Nasemaa "mtalaka hatongozwi"... Isije kuwa nilikuja kwa ajili ya....