Nina laptop 2 hapa (hp) mpya kabisa hazijafunguliwa. Ningekuwa karibu hapo ningenyaka hiyo laki tatu kwa ulaini kabisa dah. Au ningekupa kama zawadi ya kupata twins. Vinaendeleaje vimalaika vyako mkuu?NINA SHIDA NA LAPTOP YEYOTE ILE LENOVO, DELL HP. .BEI 300K KWA ALIYE ARUSHA ANAUZA TUWASILIANE.
CHAP OKOA MUDA.
Amin[emoji120] [emoji120]Kumbe ndo unaingia? Basi Mungu Akawe nawe. Mimi sina cha kulalamikia. Mungu ni mwema...
Nipo Cole Williams[emoji4] [emoji4]Safi upo carbamazepine?
COLEWORLDLOVESYOU
Sijambo mkuu. Familia yako haijambo? Unapata usingizi kweli? Tumshukuru Mungu.MKUU Shimba. Nakusalimu kwa jina la buana.
Amin..Amin[emoji120] [emoji120]
Hongera sanaMimi huwa nachukulia kuwa ni sehemu ya mazoezi tu. Bado naweza kupiga jembe masaa sita bila kuchoka...
Basi wewe utakuwa mpishi unatuletea chai na viazi huko huko shamba....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mi nakuona siku yako inaendaje.Nipo Cole Williams[emoji4] [emoji4]