Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Andjul hapana kwa kweli. Afadhali tu hata uje na Nsamaka mke mwenza. Au hata kaYego kakokote uje nako!

Ndama huyu akikua bila shaka ukoo wa akina Jakitoo watamchukua.
Shemeji mbona masharti yanaanza kuwa mengi na magumu?
Mara ya kwanza yego ulimkataa ukasema nije na cole,sasa cole tumeachana,nsamaka siwezi kuja naye maana tunaweza tusifike hiyo safari,switihati shemeji andjul hutaki nije naye na hata kuja peke yangu hutaki...
Sijui ndo nanyimwa hako ka ndama[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Valium ni dawa nzuri ikitumika vizuri, kwa mgonjwa sahihi. Pia ni dawa mbaya sana ikitumika vibaya na kwa mtu asiye sahihi.

Matumizi sahihi ya dawa ni msingi wa afya njema……
Mkuu ukimaliza darasa la Valium ambayo imehusika kuondoa uhai wa baba wa rafiki yangu, kuna dawa ya maumivu inaitwa Tramadol, vijana hapa Dar huitumia bila ushauri wa tabibu hasa wanapoanza harakati za kuacha kuvuta unga
 
Wewe mwenyewe umechanganya madesa. Anyway, tafuta mtu mwingine ye yote lakini siyo Andjul. Ukikosa basi hata peke yako njoo tu. Jakitoo ataelewa bila shaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afadhali nimepumua...Wanaukoo hatutakubali ajitwalie shemejiye kwa maguvu. Na Cole ni lazima ashirikishwe japo kwa ushauri wa awali. Ubinadamu muhimu jamani !!!
Kaeni kikao sasa muamue tena nawapa 24hrs muwe mshafikia maamuzi la sivyo nafanya maamuzi magumu.
Halafu shem hii ndoa mpya mbona kama unaiwekea vipingamizi[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kitu ilimpiga vaisi vesa baada ya kuitumia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eee Mungu niinue mbele ya maadui zangu[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yego kwisha habari yako.[emoji124] [emoji124] tembea na Yesu,ameeni,tembea na Yesu,ameen haleluya ameen[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…