Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu ukimaliza darasa la Valium ambayo imehusika kuondoa uhai wa baba wa rafiki yangu, kuna dawa ya maumivu inaitwa Tramadol, vijana hapa Dar huitumia bila ushauri wa tabibu hasa wanapoanza harakati za kuacha kuvuta unga
Aiseeh!pole yake
Ila tramadol siyo kabisa ile ilitaka kunizimisha siku moja sina hamu nayo
 
Basi naja mwenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kaeni kikao sasa muamue tena nawapa 24hrs muwe mshafikia maamuzi la sivyo nafanya maamuzi magumu.
Halafu shem hii ndoa mpya mbona kama unaiwekea vipingamizi[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nina sababu zangu. Andjul hapana kwa kweli. Afadhali hata urudi kwa Cole tu. Tena sasa hivi atakuwa keshajifunza na hatakuteki fo grantedi tena...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…